• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA:wizara ya kilimo inatarajia ongezeko la asilimia 44 la uzalishaji wa mahindi

    (GMT+08:00) 2018-05-21 19:03:59

    Wizara ya Kilimo inatabiria ongezeko la asilimia 44 ya uzalishaji wa mahindi mwaka huu, kutokana na hali nzuri ya hewa.Serikali inasema wakulima watavuna mifuko milioni 46 ya kilo 90 kutoka kwa mazao ya sasa, ongezeko kutoka msimu uliopita ambapo nchi ilirekodi mifuko milioni 32.Wizara inasema kuongezeka kwa usambazaji wa mbolea iliyotolewa ruzuku iliyopatiwa na matumizi ya mbegu bora itasaidia katika kuongeza uzalishaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako