• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Mikono kwa Vijana U-20, Rwanda ndio mabingwa wa kanada ya Mashariki

    (GMT+08:00) 2018-05-22 08:31:48

    Timu ya taifa Rwanda ndio mabingwa wapya wa mashindano ya Afrika ya ngazi ya kanda ya mchezo wa mpira wa mikono kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20 yaliyomalizika nchini Uganda.

    Kwenye mechi ya fainali, Rwanda waliwashinda wenyeji Uganda kwa alama 32-27 na kufanya washinde taji hilo kwa mara ya pili mfululizo na kufuzu hatua ya juu zaidi ya mashindano ya Afrika.

    Kwenye mechi ya kutafuta mshindi wa tatu, Ethiopia iliishinda Kenya kwa alama 29-22

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako