• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mpira wa Kikapu, Klabu ya GRA ya Ghana yaanza ziara nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2018-05-22 08:32:06

    Timu ya wanawake ya mpira wa kikaku ya GRA kutoka Ghana imeanza ziara ya wiki moja ya kucheza mechi za kirafiki nchini Kenya.

    Katika mechi yake ya kirafiki iliyofanyika jana, timu hiyo ilishinda kwa pointi 69-52 dhidi ya timu ya Chuo Kikuu cha Kimarekani kilichopo Nairobi.

    Timu hiyo ambao ni mabingwa kihistoria nchini Ghana, inacheza mechi hizo kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya kimataifa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako