• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Arsenal kumwajiri kocha wa zamani wa PSG Unai Emery

    (GMT+08:00) 2018-05-22 08:32:26

    Klabu ya Arsenal inatarajia kumtangaza kocha wa zamani wa PSG Unai Emery kuwa kocha wakwe mpya na atachukua mikoba iliyoachwa na Arsene Wenger.

    Uteuzi huu, unafuta tetesi za kuaminika kuwa Arsenal wako mbioni kumtangaza Mikael Arteta kama mrithi wa Wenger lakini sasa habari zimebadilika.

    Licha ya kushindwa kumaliza vyema kwenye michuano ya klabu bingwa ulaya akiwa na PSG, Emery ni kocha ambaye ana mafanikio ya makubwa kwenye soka ngazi ya klabu akiwa amewapa ubingwa wa Ligi klabu ya PSG msimu uliopita, na amewahi kuchukua kombe la ligi ya Yuropa mara tatu mfululizo akiwa na klabu ya Sevilla ya nchini Hispania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako