• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, Bado siku 23: Kocha mkuu wa Hispania atangaza kikosi chake

    (GMT+08:00) 2018-05-22 08:33:00

    Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Hispania ametangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda kikosi kitakachoshiriki michuano ya kombe la dunia mwezi ujao.

    Alvaro Morata na Cesc Fabregas ni miongoni mwa majina maarufu ambayo hayajaorodheshwa kwenye timu.

    Lakini mchezaji mzoefu zaidi aliyeitwa kwenye kikosi hicho ni beki wa Real Madrid, Sergio Ramos wa Real Madrid na akimjumuishwa mkongwe Andres Iniesta kwenye kikosi hicho.

    Kwenye timu hiyo yenye vipaji vingi viungo ni Sergio Busquets, Koke, Saul Niguez (A, Thiago Alcantara, David Silva, na Andres Iniesta.

    Washambuliaji ni Isco, Marco Asensio, Lucas Vazquez, Iago Aspas, Rodrigo Moreno, na Diego Costa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako