• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la Dunia, Zimebaki Siku 22: Kocha wa Uingereza amteua Harry Kane kuwa nahodha

  (GMT+08:00) 2018-05-23 11:01:06

  Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza, Gareth Southgate amemteua mchezaji wa klabu ya Tottenham Harry Kane kuwa nahodha wa kikosi kitakachoshiriki mahsindano ya kombe la dunia mwezi ujao.

  Uamuzi wa kocha huyo kumteua Kane, umekuja kutokana na alichodai kuwa ni juhudi alizozionyesha mchezaji huyo kila wakati alipoitwa kuitumikia timu ya taifa, lakini pia kutokana na mwenendo wake kwenye ligi kuu ya uingereza.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako