• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, Zimebaki Siku 22: Kocha wa Argentina ataja kikosi cha wachezaji wake 23

    (GMT+08:00) 2018-05-23 11:01:35

    Kocha wa timu ya taifa ya Argentina, Jorge Sampaoli ataja rasmi majina 23 kamili kwa ajili ya timu itakayoshiriki michuano ya kombe la dunia mwaka 2018.

    Kiksoi cah kocha huyo kinaundwa na wachezaji 19 wanaocheza ligi za kulipwa barani ulaya, na wanne tu ndio ndio hawachezi ulaya, ambapo mmoja wao ni Javier Mascherano ambaye anacheza katika klabu ya Hebei Fortune ya China, na watatu (golikipa Franco Armani, Maximiliano Meza na Christiano Pavon)

    Viungo: Javier Mascherano (Hebei China Fortune/China PR), Cristian Pavon (Boca Juniors), Maximiliano Meza (Independiente), Angel Di Maria (Paris Saint-Germain/France), Giovani Lo Celso (Paris Saint-Germain/France), Manuel Lanzini (West Ham/Uingereza), Ever Banega (Sevilla/Hispania), Lucas Biglia (AC Milan/Italia), Eduardo Salvio (Benfica/Ureno).

    Washambuliaji ni: Paulo Dybala (Juventus/Italia), Gonzalo Higuain (Juventus/Italia), Lionel Messi (Barcelona/Hispania), Sergio Aguero (Manchester City/Uingereza).

    Argentina inacheza mechi yake ya kwanza Juni 16, dhidi ya Iceland.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako