• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Biashara ya chai kwenye Maonesho ya kimataifa ya chai nchini China yaongezeka

    (GMT+08:00) 2018-05-23 17:47:12

    Thamani ya biashara ya chai kwenye Maonesho ya kimataifa ya pili ya chai yaliyofanyika Hangzhou nchini China imeongezeka na kufikia dola za kimarekani 16.2 kutoka dola za kimarekani 10.7 ya mwaka jana.

    Kwenye maonesho hayo ya siku tano, makubaliano zaidi ya 4000 yalisainiwa na karibu tani 100 za chai ziliuzwa. Maonesho hayo yaliyofungwa jana yalishirikisha zaidi ya kampuni 1500 za chai kutoka ndani na nje ya China.

    Mfanya biashara kutoka Sri Lanka Bw. Chiranjaya Udumullage alileta aina tofauti za chai nyeusi kwenye maonesho hayo, na kusema mustakabali wa chai nyeusi ya Sri Lanka ni mzuri nchini China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako