• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtu mmoja auawa kwenye mlipuko wa fataki kaskazini magharibi mwa Hispania

    (GMT+08:00) 2018-05-24 09:42:32

    Mtu mmoja ameuawa na wengine 26 kujeruhiwa kwenye mlipuko wa fataki uliotokea jana alasiri katika nyumba moja binafsi mjini Tui, kaskazini magharibi mwa Hispania. Baraza la mji huo limesema halikujua uwepo wa fataki hizo na kwamba kiwanda cha kutengeneza fataki kwenye eneo hilo kilifungwa miaka iliyopita. Baada ya mlipuko huo kutokea, watu waliondolewa kwenye nyumba zao, na wazima moto wanakagua kila nyumba kutafuta majeruhi wengine kwenye eneo la tukio, ambalo nyumba nyingi zimeharibiwa na mlipuko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako