• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wayne Rooney aelekea Marekani kwenye mazungumzo na upimaji wa afya kabla ya kujinga na DC United

    (GMT+08:00) 2018-05-24 10:42:33

    Mwanasoka wa Uingereza Wayne Rooney yuko Marekani kwa muda wa saa 48 ambako amekwenda kufanya mazungumzo na upimaji wa afya, kabla ya kujiunga na klabu ya DC united ya mjini Washington. Upimaji wa afya ni hatua inayofuatwa na vilabu vingi kuepuka "kununua mbuzi kwenye gunia". Rooney ambaye amekuwa kimya na familia yake baada ya msimu wa ligi kwisha, ni miongoni mwa wachezaji wa Ulaya wanaokwenda kumalizia soka yao nchini Marekani, aliyemtangulia hivi karibuni ni Ibramovic.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako