• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Neymar anatarajiwa kucheza kombe la dunia baada ya kuonyesha maendeleo makubwa ya kupona

    (GMT+08:00) 2018-05-24 10:42:56
    Kwa wapenzi wa soka mnaosubiria kwa hamu kombe la dunia, habari njema ni kuwa mshambuliaji wa klabu ya PSG ya Ufaransa anaendeleo na mazoezi na anapona kwa haraka majeraha aliyoptaka akiichezea timu yake. Madkatari wa timu ya taifa ya Brazi wamesema Neymar anaendelea vizuri na anapona kwa kasi, tangu alipofanyiwa upasuaji mwezi machi kutokana na kuvunjika mguu alipokuwa akicheza mechi ya ligi ya Ufaransa.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako