• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Manchester United yaanza mazungumzo na Tottenham kumsajili Toby Alder wiereld

    (GMT+08:00) 2018-05-24 10:43:42
    Mbali na klabu kuimarisha safu za makocha, baadhi ya vilabu vimekuwa vinapanga kutumia fursa hii kuimarisha vikosi vyao. Kwa sasa klabu ya Machester United inafanya mazungumzo na klabu ya Toettnham Hotspur kumsajili Toby Alderwiereld mchezaji kutoka Uholanzi, ambaye ameshindwa kufikia makubaliano na klabu yake kuhusu vipengele vya maktaba mpya. Hata hivyo nia ya Man United inaonekana kuwa matatani kutokana na dau kubwa lililodaiwa na klabu ya Tottenham.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako