• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaongeza uagizaji wa bidhaa za kilimo ili kuinufaisha

    (GMT+08:00) 2018-05-24 18:44:16

    China inatarajia kupanua na kugawa bidhaa za kilimo zinazoagizwa kutoka nje ili kujinufaisha zaidi yenyewe pamoja na nchi nyingine, na hii inatokana na makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni kati ya China na Marekani kuhusu biashara ya kilimo.

    Nchi hizo mbili zimekubaliana kuongeza uuzaji wa bidhaa za kilimo kutoka Marekani, ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha upatikanaji wa chakula nchini China na kusukuma mbele kiwango cha sekta ya kilimo nchini China.

    Marekani ni chanzo kikubwa cha China katika uagizaji wa mazao ya kilimo, ikichukua asilimia 19 ya kiasi chote cha uagizaji wa bidhaa za vyakula cha China kutoka nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako