• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usafirishaji wa mafuta ya Turkana  kuanza Mwezi Juni

    (GMT+08:00) 2018-05-24 19:42:12
    Rais Uhuru Kenyatta anatarajiwa kufungua rasmi usafirishaji wa kwanza wa mafuta kutoka Lokichar tarehe 3 mwezi Juni.

    Katika taarifa iliyotolewa kutoka ikulu,ni rasmi sasa mafuta ya Kenya yataingia kwenye biashara ya kimataifa .

    Mradi huu wa mafuta kutoka Turkana utazalisha mapipa elfu 2 kwa siku na katika majaribio zaidi ya mapipa elfu 70 yalipatikana.

    Mafuta hayo yatahifadhiwa na kampuni ya mafuta ya Kenya petroleum kabla ya kusafirishwa hadi nchi ya nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako