• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marufuku ya biashara ya makaa yaongezwa  kwa miezi sita

    (GMT+08:00) 2018-05-24 19:42:36
    Wafanyibiashara wa mbao wataendelea kukabiliwa na wakati mgumu kufuatia serikali kuendeleza marufuku ya ukataji miti kwa biashara ya makaa.

    Katibu wa kudumu wa wizara ya misistu Keriako Tobiko amesema marufuku hayo yataendelea ili kutoa fursa kwa kustawi kwa misitu na kupunguza ukame.

    Aidha katika kipindi hicho,kamati maalum itaundwa kushuhulikia mabadiliko na marekebisho ya shughuli za usimamizi wa misitu.

    Tume ya kudhibiti misitu na maji ilitoa onyo kali la athari mbaya zilizoletwa na ukataji wa miti kwa kupikia na biashara ya makaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako