• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bajeti kuangazia uwekezaji na kukabili umasikini

    (GMT+08:00) 2018-05-24 19:43:14
    Wataalamu wa masuala ya uwekezaji wameitaka bajeti ya mwaka huu kuzingatia uwekezaji na uzalishaji wa mashinani.

    Kwa mujibu wa wataalamu hao,maendeleo ya nchi hiyo yanatakiwa kuwanufaisha wananchi moja kwa moja kiuchumi.

    Wizara ya fedha imetakiwa kuwapa fursa wanachi za kupata masoko ya bidhaa pamoja na kuwajumuisha kwa shuhuli za kiuchumi.

    Washikadau aidha wametakiwa kuwekeza kwenye uwezo na ujuzi wa watu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako