• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mazungumzo kati ya rais wa China na chansela wa Ujerumani yafanyika

    (GMT+08:00) 2018-05-24 20:27:57

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel hapa Beijing.

    Katika mazungumzo hayo, rais Xi amesema uhusiano kati ya China na Ujerumani umepata maendeleo makubwa tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kiwenzi na kimkakati mwaka 2014, na ushirikiano kati ya pande hizo mbili umefikia kiwango cha juu zaidi.

    Bi. Merkel amesema Ujerumani na China zinatakiwa kuimarisha mawasiliano na uratibu katika mambo ya kimataifa, na kufanya ushirikiano wenye ufanisi chini ya mfumo wa pande nyingi likiwemo kundi la nchi 20. Amesema Ujerumani inaunga mkono kuendeleza uhusiano wa ushirikiano kati ya pande hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako