• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya Klabu bingwa Ulaya inachezwa kesho mjini Kiev, Ukraine

    (GMT+08:00) 2018-05-25 08:39:59

    Fainali za michezo ya klabu Bingwa barani Ulaya zinachezwa kesho mjini Kiev nchini Ukraine, kati ya timu ya Real Madrid na Liverpool. Fainali hizo zimegubikwa na malalamiko kutoka kwa mashabiki wa klabu ya Liverpool, waliolalamikia gharama za ajabu kwenda kuangalia timu yao mjini Kiev. Katika hali ya kushangaza, bei ya hoteli katika baadhi ya hoteli imepanda kwa karibu mara 100, na kufanya zaidi ya mashabiki 1000 wa Liverpool kufuta order zao katika hoteli hilzo. Ukraine ambayp kiuchumi iko nyuma ikilinganishwa na nchi nyingi za Ulaya, kwa kawaida ina gharama ndogo za chakula na malazi, lakini mechi hii imefanya gharama hizo kupanda kwa muda kwa ghafla.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako