• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yazitaka Korea Kaskazini na Marekani kufanya juhudi kutatua masuala yanayofuatiliwa na pande mbili kupitia mazungumzo

    (GMT+08:00) 2018-05-25 18:32:30

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema, mkutano wa viongozi wa Korea Kaskazini na Marekani una umuhimu mkubwa kwa kuhimiza mchakato wa Peninsula kutokuwa na nyuklia.

    Amesema China inazitaka Korea Kaskazini na Marekani kuendelea kufanya juhudi kutatua masuala yanayofuatiliwa na pande mbili kupitia mazungumzo na kuhimiza mchakato huo.

    Bw. Lu Kang amesema, kwa kufuata hali ya sasa, pande mbili za Korea Kaskazini na Marekani zinatakiwa kuthamini maendeleo yaliyopatikana, kuendelea kuwa na uvumilivu, na kuendelea kufanya juhudi kutatua masuala yanayofuatiliwa na pande mbili kupitia mazungumzo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako