• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyakazi nchini Uganda wakataa malipo ya kwa siku

    (GMT+08:00) 2018-05-25 20:26:22

    Muungano wa wafanyakazi wa manispaa nchini Uganda nchini Uganda wametoa hisia zao kuhusu pendekezo la kuwalipa mishahara kwa kazi wanazofanya kila siku badala ya malipo ya kawaida ya mshahara wa kila mwezi.Mkuu wa kitengo cha utekelezaji katika ofisi ya waziri mkuu amesema serikali inapanga kuweka mashine ya kisasa ya kiteknolojia katika shule za umma na hospitalikuhakikisha wafanyakazi wanakuwa kazini na kuwajibikia vilivyo majukumu yao.Naye mwenyekiti wa muungano wa maofisa wa utawala Danston Balaba amesema wanaukaribisha uamuzi huo japo hawana uhakika kwamba itawapa wafanyakazi motisha ya kuripoti kazini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako