• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Burkina Faso zarejesha uhusiano wa kibalozi

    (GMT+08:00) 2018-05-26 21:10:08

    China na Burkina Faso leo zimerejesha uhusiano wa kibalozi.

    Waziri wa mambo ya nje wa China ambaye pia ni mjumbe wa taifa la China Bw. Wang Yi na mwenzake wa Burkina Faso Bw. Alpha Barry leo hapa Beijing wamesaini taarifa ya pamoja ya kurejesha uhusiano wa kibalozi kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako