• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Santos wa Colombia awataka wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu

    (GMT+08:00) 2018-05-28 08:57:10

    Rais Juan Santos wa Colombia ametoa wito kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi mkuu. Akihutubia taifa kwa njia ya televisheni, rais Santos amesisitiza kuwa uchaguzi utakuwa wa amani na wazi, na wa kuaminika zaidi kwenye historia ya Colombia, na ni mara ya kwanza kufanyika tangu makubaliano na kundi la upinzani la FARC yasainiwe.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako