• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tume ya UN Libya yakanusha ripoti kuhusu kufungwa kwa makao makuu yake na watu wenye silaha

    (GMT+08:00) 2018-05-28 08:57:28

    Tume ya Umoja wa mataifa nchini Libya UNSMIL imekanusha ripoti zinazodai kuwa makao makuu yake mjini Tripoli yamefungwa na watu wenye silaha. Vyombo vya habari vya Libya vimeripoti kuwa makundi ya waasi yamefunga makao makuu ya tume hiyo na kuwazuia wafanyakazi wa Umoja wa mataifa kuingia kwenye ofisi zao. Msemaji wa tume hiyo Bibi Sawsan Ghosha amesema ripoti hizo si za kweli na hazina msingi wowote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako