• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maparomoko ya udongo yasababisha vifo vya watu 23 Ethiopia

    (GMT+08:00) 2018-05-28 09:16:20

    Watu 23 wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa kutokana na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa katikati ya Ethiopia.

    Vyombo vya habari vya huko vimesema maporomoko hayo yametokea katika eneo la Oromia ya kati baada ya mvua kubwa kunyesha kwa saa kadhaa.

    Mvua kubwa zimeanza nchini Ethiopia, wakati msimu wa mvua unawadia. Mvua hizo huwa zinasababisha maporomoko ya udongo katika baadhi ya sehemu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako