• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chama cha Riadha Tanzania kufanya mkutano Juni, kujadili hatma ya wanariadha wasio na nidhamu

    (GMT+08:00) 2018-05-28 10:09:24

    Chama cha Riadha nchini Tanzania RT kinatarajia kufanya mkutano wake Juni 9 mwaka huu, ambapo kitajadili ajenda mbalimbali kwa ajili ya maendeleo ya mchezo huo.

    Katibu mkuu wa RT, Wilhelm Gidabuday amesema ajenda nyingi zitakuwa ni kuhusu ratiba za mashindano ya kitaifa na kikanda, lakini pia kutakuwa na ajenda ya kuwajadili wanariadha walioripotiwa kuonyesha nidhani mbovu miongoni mwa walioshiriki mashindano ya jumuiya ya madola nchini Australia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako