• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakongwe Jelena Ostapenko na Venus Williams washindwa mechi za kwanza

    (GMT+08:00) 2018-05-28 10:11:51

    Wachezaji wakongwe Jelena Ostapenko wa Latvia na mwenzake Venus Williams wa Marekani wameondolewa kwenye raundi ya katika michuano ya tennis ya Ufaransa baada ya kila mmoja wao kufungwa jana.

    Jelena alifungwa na mwanadada Kateryna Kozlova wa Ukraine kwa seti ya alama 7-5 6-3, huku Williams ambaye ni namba tisa kwa Ubora akifungwa na Wang Qiang kutoka China ambaye ni namba 91 kwa ubora.

    Michuano hiyo iliyoanza jana inatarajiwa kumalizika Juni 10 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako