• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mechi ya kirafiki baina ya Nigeria na DRC kupigwa leo

    (GMT+08:00) 2018-05-28 10:12:38

    Mechi ya kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Nigeria (The Super Eagles) na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (The Leopards) itapigwa jioni ya leo katika mji wa Port Harcourt nchini Nigeria.

    Super Eagles wanacheza mechi hiyo ikiwa ni maandalizi kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia, ambayo itaaanza mwezi Juni ujao.

    Wachezaji pamoja na viongozi wa DRC wamewasili Nigeria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako