• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China atarajia kutembelea Ujerumani, Ubelgiji na Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2018-05-28 18:06:56
    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema, mjumbe wa taifa, ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje ya China Bw. Wang Yi atafanya ziara nchini Ujerumani, pia atashiriki kwenye mazungumzo ya duru ya 8 ya ngazi ya juu ya mkakati wa China na Ulaya mjini Brussels.

    Bi. Hua Chunying pia amesema, Wang Yi atafanya ziara nchini Afrika Kusini na kushiriki kwenye mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za BRICS.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako