• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakenya walio na mazoea ya kuagiza bidhaa kutoka nje watarajiwa kulipa zaidi

    (GMT+08:00) 2018-05-28 19:50:23

    Wakenya ambao wako na mazoea ya kuagiza bidhaa wanatarajiwa, kulipa zaidi baada ya hazina ya fedha kuamua kuongeza kodi kwa bidhaa za kigeni badala ya kupunguza ushuru kwa malighafi ili kuongeza ushindani wa wazalishaji wa ndani.

    Katibu wa kudumu Kamau Thugge amesema kuwa Sheria ya Fedha 2018 ikuwa na kipenge hicho cha kuongeza ushuru, ili kuzuia kuagizwa kwa bidhaa ambazo zinaweza kutengenezwa nchini.

    Kuongezeka kwa ushuru kunaweza changia kuongezeka kwa bei ya bidhaa za msingi kama vile unga wa ngano, mafuta ya kupikia, na nguo, ambazo zinaagizwa na zinatengenezwa nchini.

    Chama cha Wafanyakazi wenya viwanda Kenya (KAM) imependekeza kuongezeka kwa ada ya kuagiza bidhaa za matumizi kutoka nje, hadi asilimia 3.5 ya thamani ya uagizaji kutoka asilimia 2.5 ya sasa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako