• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Wakati mgumu wa kisiasa, Uchumi ulilazimisha Wakenya kuzaa mikanda

    (GMT+08:00) 2018-05-28 19:51:35

    Matumizi ya kila mwezi ya Wakenya yamepungua tangu mwezi Mei mwaka jana, uchunguzi mpya wa wanunuzi unaonyesha.

    Utafiti uliofanywa na m Survey, kampuni ya uchunguzi wa walaji duniani inaonyesha kuwa Wakenya kwa wastani walitumia kidogo na kidogo kila mwezi kutokana na matumizi ya juu ya Sh22,458 mwezi Mei mwaka jana, na wastani wa chini wa 11,629 mwezi Machi.

    Kwa kweli watumiaji walilazimika kuingia kwa mifuko yao zaidi mwaka jana kutokana na muda mrefu wa siasa na kupanda juu kwa mfumuko wa bei.

    Wanunuzi walitumia asilimia 2.2 zaidi juu ya chakula, kutokana na likizo za shule. Hii ilionekana katika burudani, ambayo ilichukua asilimia 2.2 zaidi. Gharama za usafirishaji wakati wa Aprili pia iliongezeka asilimia 2.2 na asilimia 1.6 zaidi ilitumika katika huduma ya kibinafsi.

    Kampuni ya uchunguzi imesema kuwa matumizi inatarajiwa kurudi kawaida, mfumuko wa bei wa kitaifa ukiendelea kushuka. Mnamo Aprili, mfumuko wa bei ulipungua hadi asilimia 3.73, chini ya 4.18 mwezi Machi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako