• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa Israel asema Iran haitakiwi kuwa na uwepo wa kijeshi nchini Syria

    (GMT+08:00) 2018-05-29 09:07:38

    Waziri mkuu wa Israel Bw. Benjamin Netanyahu amesema atawahimiza viongozi wa Ujerumani na Ufaransa kuunga mkono msimamo wa Israel, kuwa Iran haitakiwi kuwa na uwepo wa kijeshi nchini Syria. Taarifa iliyotolewa na ofisi ya waziri mkuu huyo inasema Bw. Netanyahu anatarajiwa kwenda Ulaya kwa ziara ya siku tatu, ambako atakutana na chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa. Katika miaka iliyopita Israel iliziomba Russia na Marekani kuizuia Iran kujenga uwepo wake wa kijeshi nchini Syria, ambako vikosi vya Iran vinapambana bega kwa bega na jeshi la rais Bashar al-Assad.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako