• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Merkel aonesha nia ya kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mgogoro wa kibiashara

    (GMT+08:00) 2018-05-29 09:07:57

    Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel ameonesha nia ya kufanya mazungumzo na Marekani kuhusu mgogoro wa kibiashara muda mfupi kabla ya muda wa kusamehe ushuru dhidi ya chuma cha pua na alumini kwisha Juni mosi. Bibi Merkel amesema ana matumaini kuwa hakutakuwa na haja kwa Umoja wa Ulaya kuchukua hatua za kulipiza kisasi kutokana na mgogoro wa kibiashara kati yake na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako