• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zimbabwe na Umoja wa Ulaya wasaini makubaliano kuhusu kutuma waangalizi kwenye uchaguzi

    (GMT+08:00) 2018-05-29 09:29:19

    Umoja wa Ulaya umesaini Makubaliano na serikali ya Zimbabwe kuhusu kutuma waangalizi wa uchaguzi mkuu nchini humo.

    Makubaliano hayo yamesainiwa na waziri wa mambo ya nje na biashara ya kimataifa wa Zimbabwe Bw. Sibusiso Moyo na balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Zimabbwe Bw. Philippe Van Damme, baada ya serikali ya Zimbabwe kuuomba Umoja wa Ulaya kutuma ujumbe wa waangalizi kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, utakaofanyika katikati ya mwaka huu.

    Hii itakuwa ni mara ya kwanza kwa Umoja wa Ulaya kutuma ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi nchini Zimababwe tangu mwaka 2002.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako