• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Usajili wa Wachezaji: Liverpool wamsainisha Fabinho wa Brazil

    (GMT+08:00) 2018-05-29 10:11:04

    Ili kujiimarisha zaidi kwa ajili ya msimu uajo wa ligi kuu ya soka ya nchini Uingereza, klabu ya Liverpool imeingia mkataba wa miaka minne na mchezaji wa kimataifa wa Brazil Fabinho wenye thamani ya pesa za uhamisho pauni milioni 43.7.

    Mchezaji huyo anatarajiwa kujiunga na klabu hiyo July 1 mwaka huu, baada ya kukamilisha vipimo vya afya.

    Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema anatambua uwezo wa mchezaji huyo ambaye anauwezo wa kucheza nafasi mbili, ya kiungo na ya ulinzi, hivyo atakuwa msaada mkubwa sana kwa klabu yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako