• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kombe la Dunia, Bado siku 16: Sifa za kipekee za timu ya taifa ya Coast Rica

    (GMT+08:00) 2018-05-29 10:11:23

    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Costa Rica Oscar Ramirez amesema kikosi cha kinaweza kupata matokeo mazuri kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka huu kutokana na baadhi ya vigezo alivyotaja kuwa ni vya faida.

    Moja ya vigezo alivyosema vinampa matumaini ya kufanya vyema ni wachezaji wake kufahamiana, kwani 12 kati ya 23 walioteuliwa kwa ajili ya mwaka 2018 walishiriki pia mwaka 2014.

    Kingine ni uwepo wa wachezaji wenye uzoefu mkubwa wa mashindano ya kimataifa, ambapo wengi wao wana umri wa miaka 29 na wamecheza mechi zaidi ya 46 kila mmoja.

    Jambo la tatu, ni uwepo wa golikipa ambaye yeye anamwita namba moja kwa ubora duniani kwa sasa Keylor Navas wa klabu ya Real Madrid ya Hispania.

    Lakini vilevile kiwango cha soka cha timu hiyo ikilinganishwa na nchi nyingi duniani ni kizuri, nakwenye michuano ya mwaka huu iko Costa Rica iko kundi E pamoja na timu za Brazil, Uswisi na Serbia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako