• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri wa mambo ya nje wa China atoa salamu za rambirambi kufuatia ajali ya barabarani nchini Uganda

    (GMT+08:00) 2018-05-29 18:07:18

    Mjumbe wa taifa la China ambaye pia ni waziri wa mambo ya nje Bw. Wang Yi jana ametoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Uganda Sam Kutesa kutokana na ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha vifo na majeruhi mengi.

    Bw. Wang Yi ameeleza kusikitishwa kwake na ajali hiyo iliyotokea katika eneo la Kiryandongo, nchini Uganda na kusababisha vifo vya watu 22 na wengine wengi kujeruhiwa. Amewapa pole wafiwa wote na kuwatakia majeruhi kupona mapema.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako