• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Umoja wa Mataifa wazialika nchi mbalimbali kujiunga na ushirikiano wa kituo cha anga cha China

    (GMT+08:00) 2018-05-29 18:12:46

    Ujumbe wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na mashirika ya kimataifa na ofisi ya mambo ya anga ya juu ya Umoja wa Mataifa zilifanya sherehe ya pamoja kutangaza fursa ya ushirikiano wa kimataifa wa kituo cha anga ya juu cha China, kuanzisha rasmi ushirikiano wa kimataifa wa kituo hicho, na kuzialika nchi mbalimbali kujiunga na ushirikiano huo.

    Akihutubia katika sherehe hiyo, Mjumbe wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa na mashirika mengine ya kimataifa Bw. Shi Zhongjun ametoa wazo la ufunguzi wa mlango, amani na kunufaishana kuhusu kufanya ushirikiano wa kimataifa wa anga ya juu, na kushirikiana kutumia sehemu ya anga ya juu kutafuta maslahi ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako