• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia:Serikali yasitisha leseni za uchimbaji wa madini kwa mda Oromia

    (GMT+08:00) 2018-05-29 18:50:33

    Serikali ya Ethiopia imefutilia mbali leseni za baadhi ya kampuni za kuchimba dhahabu katika eneo la Guji wilaya ya Oromia .

    Hii ni kufuatia malalamishi ya wananchi kuhusu uharibifu wa mazingira na maji .

    Bacha Faji ni msemaji wa wizara ya petrol na gesi , aliesisitiza kwamba kampuni zinazofanya sghuhuli ya uchimbaji zimekataa kushirikiana na serikali katika tuhuma za uharibifu huo.

    Kampuni hiyo kutoka Saudi Arabia zimepokonywa leseni na kutakiwa kusimamisha kazi hiyo hadi pale muafaka utakapopatikana.

    Utafiti unaonyesha kwamba eneo la Guja linatoa zaidi ya tani 4.5 ya dhahabu kwa mwaka

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako