• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Kenya Power kupuguza idadi ya wafanyikazi

    (GMT+08:00) 2018-05-29 18:52:13

    Kampuni ya usambazaji umeme ya Kenya Power imetangaza marekebisho ya hivi karibuni yatakayoshuhudia kupunguza idadi ya wafanyikazi wake.

    Kampuni hiyo inataka kupunguza gharama ya uendeshaji kazi kwa kupunguza wafanyikazi katika sekta za uongozi.

    Mwenyekiti wa kampuni hiyo Mahbub Maalim amesema mabadiliko hayo yanalenga kuboresha huduma na kubana matumizi.

    Hata hivyo wasimamizi wa Kampuni hiyo wamesema watapunguza vyeo vya wahudumu ili kustawisha ukuwaji wa biashara zao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako