• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kampuni ya China kupeleka teknolojia mpya ya kifedha barani Afrika ili kuhimiza matumizi ya nishati ya jua

    (GMT+08:00) 2018-05-30 09:13:39

    Kampuni ya nishati mpya ya Shenzhen JCN imesema inajitahidi kupeleka teknolojia mpya ya kifedha barani Afrika, itakayosaidia kuhimiza matumizi ya nishati ya jua kwa kuwalenga watu wenye mapato ya chini.

    Mkurugenzi wa Idara ya mauzo ya kampuni hiyo Bw. Andy Luo amesema mjini Nairobi kuwa kampuni hiyo imeanzisha teknolojia inayoziwezesha kaya kununua vifaa vya umeme wa jua na kulipia polepole gharama zake kwa njia ya mtandao. Bw Luo amesema teknolojia hiyo itawataka wateja kulipia kila mwezi ili ifanye kazi.

    Kifaa cha gharama kubwa zaidi kitakuwa kinatoa wati 120 za umeme, unaoweza kuwasha balbu nne, kuchaji simu na kutumika kwenye televisheni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako