• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 14 wajeruhiwa baada ya magari 25 kugongana mashariki mwa Uingereza

    (GMT+08:00) 2018-05-30 09:16:35

    Polisi nchini Uingereza wamesema jumla ya watu 14 wamejeruhiwa baada ya magari 25 kugongana katikati ya mji wa Dartford, ulioko Kaunti ya Kent, mashariki mwa Uingereza. Televisheni ya Sky News inasema mwanaume mmoja amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuendesha gari kwa uzembe. Kwa mujibu wa polisi, watu 14 kati ya majeruhi ni watembea kwa miguu, na wamepewa matibabu kwenye eneo la ajali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako