• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hamas na Jihad zatangaza kuwajibika na mashambulizi ya maroketi dhidi ya Israel

    (GMT+08:00) 2018-05-30 09:29:59

    Makundi ya Hamas na Jihadi yametoa taarifa ya pamoja yakitangaza kuwajibika kwa pamoja na mashambulizi ya maroketi na mizinga kutoka ukanda wa Gaza dhidi ya Israel.

    Taarifa imesema mashambulizi hayo yalikuwa majibu ya vitendo vya unyanyasaji wa Israel na uhalifu wake dhidi ya watu wa Palestina na wanamgambo wao.

    Habari kutoka jeshi la Israel zinasema, Israel imefanya shambulizi kubwa la anga dhidi ya ukanda wa Gaza, na kushambulia shabaha 35 na handaki moja kati ya Misri na Israel.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako