• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ajali ya barabarani yasababisha vifo vya watu 33 katikati ya Eritrea

    (GMT+08:00) 2018-05-30 10:12:07

    Watu 33 wamefariki dunia na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya kwenye ajali ya barabarani iliyotokea jana katikati ya Eritrea.

    Televisheni ya taifa ya Eritrea imesema ajali hiyo ilitokea wakati basi moja lenye watu 45 lililokuwa likielekea mji wa Kerenli kutoka Asmara kaskazini lilipinduka barabarani na kuangukia kwenye bonde lenye kina cha mita 80.

    Polisi wanachunguza chanzo cha ajali hiyo, na derevea kuendesha kwa mwendo kasi kunadhaniwa kuwa ni chanzo cha ajali hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako