• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Usajili wa Wachezaji wa ligi kuu

    (GMT+08:00) 2018-05-30 10:50:59

    Aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Lipuli FC, Adam Salamba amesaini mkataba wa miaka miwili kwa uhamisho wa ada yenye thamani ya pesa za Tanzania shilingi milioni 30 wa kuitumikia klabu ya Simba SC.

    Taarifa ya Simba kumsajili nyota huyo inafuta nia ya timu za Azam na Yanga kumsajili.

    Kuna habari nyingine pia, kwamba Simba inataka kumsajili mchezaji kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Pappy Tshitshimbi ambaye anacheza katika klabu ya Yanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako