• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Afunga goli 1 katika mechi yake ya kwanza kimataifa ya wakubwa

    (GMT+08:00) 2018-05-30 10:51:42

    Mtoto wa mchezaji wa zamani wa kimataifa wa Liberia George Weah aitwaye Timoth Weah jana amefunga goli 1 katika ushindi wa magoli 3 ya ushindi iliopata timu ya taifa ya Marekani kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Bolivia.

    Timoth ana miaka 18 na ni mchezaji klabu ya PSG ya Ufaransa, kwa upande wa timu ya taifa ya wakubwa hii ilikuwa ni mechi yake ya kwanza na akifanikiwa kufunga goli.

    Timoth amewahi kuichezea timu ya taifa ya vijana katika michuano mbalimbali na kwa upande wa timu ya wakubwa na ni miongoni mwa kikosi kipya kilichoundwa na kocha wa muda wa timu ya taifa ya Marekani Dave Sarachan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako