• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa maendeleo ya sekta ya usambazaji wa vifurushi wa China wafanyika

    (GMT+08:00) 2018-05-30 18:20:16

    Mkutano wa maendeleo ya sekta ya usambazaji wa vifurushi wa China umefanyika leo hapa Beijing.

    Mkutano huo wenye kauli mbiu "teknolojia ya juu kusaidia maendeleo mapya, sifa bora kuhudumia uchumi mpya", umejadili mada kuhusu uvumbuzi wa teknolojia ya usambazaji wa vifurushi, maendeleo yasiyochafua mazingira, kuwaandaa watu, na maendeleo ya pamoja ya sekta mbalimbali.

    Mkutano huo pia umetoa ripoti ya mwaka 2017 ya mchango wa sekta ya usambazaji wa vifurushi kwa jamii ya China, na ripoti ya kiwango cha maendeleo ya sekta hiyo kati ya mwezi Januari hadi Aprili mwaka 2018.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako