• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gor Mahia yaendelea na kasi yake kutetea kuingwa wake

    (GMT+08:00) 2018-05-31 08:31:11
    Mabingwa wa soka wa Kenya Gor Mahia wanaongoza ligi ya Kenya kwa kuwa na pointi 34 pointi sita zaidi ya timu ya ulinzi yenye pointi 28, kufuatia ushindi dhidi ya Sony Sugar kwenye uwanja wa Moi mjini Kisumu. Ephrem Guikani kutoka Ivory Coast alifunga goli katika dakika ya 38 ya mchezo, na kuwafanya vijana hao wanaoongozwa na kocha Dylan Kerr. Licha ya kuwa ushindi wa goli moja umezoa pointi zote, baadhi ya mashabiki wamesikitishwa na ushindi huo mwembamba, hasa ikizingatiwa kuwa Sony Sugar wako mkiani mwa ligi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako