• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa UM atoa wito wa kuundwa haraka kwa serikali mpya ya Iraq

    (GMT+08:00) 2018-05-31 09:11:04

    Mjumbe maalumu wa katibu mkuu wa Umoja wa mataifa nchini Iraq Bw. Jan Kubis ametoa wito wa kuundwa mara moja kwa serikali shirikishi nchini Iraq baada ya uchaguzi wa wabunge kumalizika Mei 12. Bw. Kubis amesema viongozi wa kisiasa nchini Iraq wanatakiwa kuweka mkazo kwenye mazungumzo shirikishi, na kuhakikisha serikali ya kitaifa inayoweza kuwakilisha watu wa Iraq inaundwa haraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako