• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Kampuni ya Coca Cola kuwekeza bilioni 10 Kenya

    (GMT+08:00) 2018-05-31 18:56:23

    Kampuni ya vinywaji ya Coca Cola itawekeza shilingi bilioni 10 nchini Kenya katika mda wa miaka 5 ijayo .

    Fedha hizi zitatumika kufadhili miradi ya miundo msingi .

    Meneja wa kikanda wa Kampuni hiyo Daryl Wilson, amesema kampuni hiyo itaendelea kuwahudumia wakenya kupitia biashara ya vinywaji na kuzidi kutoa fursa za kazi kwa wakenya.

    Coca Cola aidha itafungua viwanda vinne zaidi katika mda huo na pia kuahidi kutengeneza barabara katika maeneo ya mashinani .

    Baadhi ya fedha watakazotoa zitatumika kufikisha umeme katika sehemu za vijijini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako