• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Moanyesho ya kimataifa ya mashariki ya kati yaanza rasmi leo jijini Kigali

    (GMT+08:00) 2018-05-31 18:57:08

    Mashirika la kitaifa na kimataifa yamejitokeza kwa wengi jijini Kigali katika maonyesho ya bidhaa za Misri na mashariki ya kati.

    Moanyesho hayo ya wiki mbili yamevutia wafanyibiashara 60 kulingana na natacha Haguma mraitibu mkuuwa maonyesho hayo.

    Aidha maonyesho haya yanatoa fursa za ushirikiano wa biashara na uwekezaji baina ya Rwanda na nchi hizi za mashariki ya kati.

    Zaidi ya vijana 200 wamepata vibarua katika maonyesho hayo ya kila mwaka yanayohusisha sekta za biashara katika nchi za Iran,Pakistan,Syria,Misri,India na Singapore.

    Bidhaa zilizofikishwa ni pamoja na fanicha,sodo,vyakula,mazulia,vyombo vya jikoni,viatu na dhahabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako